Monday, January 7, 2019

SINGO SINGO...SWAHILI FULL BODY SCRUB

KARIBUNI SANA TUNATOA HUDUMA YA KUSINGA MABIBIHARUSI WATARAJIWA,WAMAMA WALIOTOKA KUJIFUNGUA NA WANAWAKE WOTE KWA UJUMLA.

SINGO YETU NI YA ASILI KABISA INAFANYWA NA WAMAMA WA KITANGA.

TUNASINGA KWA MASAA MAWILI 45,000/= KWA MTU WA KAWAIDA.DISCOUNT IPO KWA MABIBIHARUSI WATARAJIWA NA WAMAMA WALIOTOKA KUJIFUNGUA KAMA WATAFANYA SINGO ZISIZOPUNGUA NNE,KILA SINGO WATALIPIA 35,000/=(UTALIPIA SINGO ZOTE KWA WAKATI MMOJA AU NUSU YA IDADI YA SINGO UTAKAZOFANYA)

TUPO MSASANI KARIBU TUPIGIE
0713-878787
0659-997222
0654-450200

Wednesday, May 18, 2016

Mwali Singo Ndio Habari Ya Mjini

Tumia Mwali Singo Kufanyia facial Uso Wako Mara Tatu Kwa Wiki na Kuscrub Mwili Mzima Mara moja Kwa Wiki.Inasaidia Sana Kusafisha Ngozi,Kuondoa Madoa na Weusi Mbalimbali Mwilini.Itaifanya Nyozi Yako Inawiri na Kua na Muonekano Mzuri
Mwali Singo Inaweza Changanywa na Rose Water,Maziwa Fresh,Maji ya Limao,Maji ya Kawaida,Mafuta ya Nazi,Asali nk

Mwali Singo 10,000/=

Tupo Sinza Mapambano,Tunauza Jumla na Rejareja (0654-450200)(0753-643934)

Wednesday, March 19, 2014

Ng'ariNg'ari

Mawese Body Cream ni Cream iliyoandaliwa na mafuta ya asili ya mawese, inasaidia sana kung'arisha ngozi.Kwa wale walioharibika baada ya kutumia cream kali, cream hii ya asili itasaidia kuondoa wekundu na weusi wa machoni pamoja na michirizi iliyosababishwa na cream kali. kuna kopo Kubwa Elfu  20,000/= na Kopo Dogo Elfu 10,000/=  Karibu Tupo Sinza Mapambano 0654-450200

Thursday, December 27, 2012

Tuesday, October 30, 2012

7 Days Cabbage soup Diet

Here's a sample Cabbage Soup Diet plan:

Day 1: Cabbage soup and all the fruit you want except bananas. Drink unsweetened tea, black coffee, cranberry juice, or water.

Day 2: Cabbage soup, all the low-calorie vegetables you want (except beans, peas, or corn), and a baked potato with butter.

Day 3: Cabbage soup and a mixture of the above fruit and vegetables.

Day 4: Cabbage soup, up to eight bananas, and two glasses of skim milk.

Day 5: Cabbage soup, up to 20 ounces of beef, chicken or fish, up to six fresh tomatoes, and at least 6-8 glasses of water.

Day 6: Cabbage soup, up to 3 beef steaks, and unlimited vegetables.

Day 7: Cabbage soup, up to 2 cups of brown rice, unsweetened fruit juices, and unlimited vegetables.

A cabbage soup diet is a type of diet plan that involves eating one thing all day for the duration of the diet. That one food choice is cabbage soup. A person on a cabbage soup diet will eat either cabbage soup only or cabbage soup and very little else for the entire length of the diet. This diet is intended for those who want to shed extra pounds quickly.

There are many different recipes for the cabbage soup consumed as the focal point of the cabbage soup diet. For example, one recipe for cabbage soup includes cabbage, water, chicken soup flavoring, broth, or soup stock, seasoning, peppers, and onions. Along with this meal, which is typically consumed a couple of times per day, the dieter may eat fruits and vegetables. Plenty of water is encouraged, and milk is allowed as long as it's skim. On a couple of days per week, a dieter may be allowed to eat a small amount of lean meat, and a baked potato or rice side is allowed at least once per week.

According to proponents of the cabbage soup diet, dieters can lose about 10 pounds (4.53 kg) per week with this weight loss plan. However, they recommend following the diet for only one week at a time. If dieters want to try another week on this diet, it is best to wait a bit first.

Diet ya Siku 14

DIET HII NI YA SIKU 14,HAKIKISHA UNAFANYA MAZOEZI LISAA LIMOJA KILA SIKU,HURUHUSIWI KUTUMIA KILEVI,SODA WALA MAFUTA UNAPOKUWA KWENYE DIET HII.NI LAZIMA KUNYWA MAJI LITA MBILI KWA SIKU.CHAKULA CHA USIKU MWISHO WA KULA NI SAA MBILI. Ndani ya Siku 14 unaweza kuondoa kilo 5-8, Pima uzito kabla ya kuanza Diet hii.

DAY 1

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake.

Breakfast:  matunda kiasi upendacho, papai ni muhimu.

Lunch:   Glass moja ya mtindi.

Dinner:   Mchemsho wa samaki wenye ndizi moja na kiazi kimoja

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 2

Breakfast:  Kula apple moja na glass ya maziwa fresh (skimmed milk)

Lunch:   Kula papai kiasi upendacho na ma apple mawili

Dinner:   Kuku nusu wa kuchoma na kachumbari

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 3

Breakfast:  Kula supu ya cabage na mboga mboga kama carot,hoho nk

Lunch:   Kunywa glass2 za juice na mboga za majani mbali mbali

Dinner:   Kunywa glass moja ya mtindi

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 4

Breakfast:  Kula tango moja na juice ma matunda yoyote isipokua parachichi.

Lunch:   Kula matunda kiasi upendacho. Papai ni muhimu sana

Dinner:   Kula mchemsho wa kuku na maji wa wingi

DAY 5

Breakfast:  Kunywa kahawa au chai yenye sukari kidogo na yai moja la kuchemsha

Lunch:   Kunywa glass moja ya mtindi

Dinner:   Sausage 2-3 za kuchemsha na juice glass moja

DAY 6

Breakfast:  Maziwa fresh na mkate wa brown wa kuchomwa vipande viwili

Lunch:   Kula matunda na mboga za majani mbali mbali kiasi upendacho
Dinner:   Mishkaki ya samaki au kuku mitatu na kachumbari

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 7

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:  Kunywa kahawa au chai yenye sukari kidogo na yai moja la kuchemsha

Lunch:   Kula matunda kiasi upendacho, papai ni muhimu

Dinner:   Kula mchemsho wa kuku

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 8

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake.

Breakfast:  Matunda kiasi upendacho,papai ni muhimu.

Lunch:   Mayai mawili ya kuchemsha na spinachi iliyocheemshwa.

Dinner:   Nyama ya steki kipande kidogo kilichochomwa na kachumbari.

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 9

Breakfast:  Kunywa glass moja ya juice na tunda la papai

Lunch:   Mboga mbalimbali za majani na glass moja ya juice

Dinner:   Kuku nusu wa kuchoma na kachumbari

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 10

Breakfast:   Sausage mbili za kuchemsha na juice glass moja

Lunch:   Mchemsho wa Samaki

Dinner:   Kunywa glass moja ya mtindi

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 11

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:  Kula tango moja na juice ma matunda yoyote isipokua parachichi.

Lunch:   Kula matunda kiasi upendacho. Papai ni muhimu sana

Dinner:   Kula mchemsho wa kuku na maji wa wingi

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 12

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:  Kunywa kahawa au chai yenye sukari kidogo na yai moja la kuchemsha

Lunch:   Kunywa glass moja ya mtindi

Dinner:   Sausage 2-3 za kuchemsha na juice glass moja

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 13

Breakfast:  Kunywa supu ya ng’ombe, nyama vipande vitatu tu.

Lunch:   Kula matunda na mboga za majani mbali mbali kiasi upendacho

Dinner:   Mishkaki ya samaki au kuku mitatu na kachumbari

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 14

Breakfast:  Kunywa mtori.
Lunch:   Kula matunda kiasi upendacho, papai ni muhimu

Dinner:   Kunywa glass moja ya juice na moja ya mtindi

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

MUHIMU:

Ø Kama una vidonda vya tumbo au presha ….chek na Dr wako kwanza.

Ø Pendelea kunywa Juice ya UKWAJU NA ASALI

Ø Unaweza rudia Diet hii mpaka utakapo ridhika na kilo zako, ila haishauriwi kufanywa zaidi ya mwezi mmoja.

Ø Mazoezi na kunywa maji kwa wingi ni LAZIMA